Sheikh Farid alieongoza sala ya pamoja huko Mbuyuni muda mfupi baada ya kumaliza sala hiyo mabomu ya machozi yameanza kurushwa na kutawanywa watu wote waliopo hapo .Polisi Zanzibar imelazimika kutumia mabomu ya machozi kukidhibiti kikundi cha UAMSHO katika mapambano dhidi yake jioni hii.
Post a Comment