Wacha tufurahie vijana wa Liverpoolfc a.k.a bwawa la maini jana usiku waliweza kuingia hatua ya makundi katika Mashindano ya Kombe la Uropa pale walipotoka sare ya goli 1-1 na Hearts,Mechi ya kwanza Liverpool walishinda kwa goli moja hivyo kusonga kwa 2-1.
Bwawa oyeeee !!
Msinune Basi.
Post a Comment