Chama cha walimu Tanzania kimeipa serikali siku 10 kutekeleza amri ya mahakama na maagizo ya bunge ya yaliyotaka kukaa meza moja na uongozi wa CWT chini ya mshauri mtaalam wa sheria za kazi kujadili changamoto zinazowakabili walimu zikiwemo madai ya malimbikizo ya madeni yaliyotokana na kupandishwa daraja.
Loading...
Post a Comment