Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetja majina ya Kata zitakazofanya uchaguzi
mdogo wa Madiwani kutokana na wagombea walioshinda katika uchaguzi wa Madiwani
uliofanyika Oktoba 31, 2010 baadhi yao kufariki, kupoteza sifa na kujiuzulu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa tume hiyo, Jullius Mallaba, alisema maandalizi
yamekamilika
na upigaji kura utafanyika katika vituo vilivyotumika wakati wa uchaguzi mkuu
wa mwaka 2010.
Aidha, Mallaba alisema watakaohusika katika upigaji kura ni wale walioandikishwa
katika daftari la kudumu la wapiga kura ambapo wapiga kura wanatakiwa kwenda
kwenye vituo vya kupigia kura wakiwa na kadi zao.
Mallaba alizitaja kata hizo ambazo uchaguzi utafanyika ni:
Source: http://www.wavuti.com
Post a Comment