

Mkuu naomba kuuliza hii KULIKONI HAPA ? Nimechagua picha hizo kutoka matukio tofauti yanayotokea hapa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania lakini mmmh Kila siku sikosi wadau hawa wakiwa pamoja .Kulikoni ? Ni udaku wangu tu sina lingine...
Mdau wako Bloku foti wani.
Post a Comment