Kiongozi
wa mbio za Mwenge kitaifa Honest Mwanossa akizungumza mara baada ya
kukagua miradi ya Zahanati na Bwalo la wanafunzi katika Kata ya
Mrangarini wilayani Arumeru, pembeni anayemsikiliza ni Diwani wa Kata
hiyo Mathias Manga.
Enzi
za Mwalimu Nyerere Mwenge wa Uhuru haikuwa hivi, hapa umati wa watu
ungekuwa umetanda barabara nzima lakini angalia hii. Hapa ni Kata ya
Ngarenanyiki mahali ambapo Mwenge ulilala kwa wilaya ya Arumeru.
Mkuu
wa wilaya ya Arumeru mwenye tracksuit ya Kijani akimkabidhi Mwenge Mkuu
wa wilaya ya Longido James Ole Millya makabidhiano hayo yalifanyika
eneo la Tingatinga wilayani Longido.
Chanzo:www.mrokim.blogspot.com
Post a Comment