Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA;HAFLA YA KUMUAGA BALOZI WA KOREA KUSINI HAPA NCHINI



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akimtakia heri na uzima wa afya Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati wa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye Hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim, Moon Jim Kim.

Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia hapa Wizarani, akisalimiana na Bibi Moon Jim Kim, mke wa Balozi Young-Hoon Kim, Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini.  Pichani ni Mhe. Balozi Kim.  

Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akimzawadia Balozi wa Korea Kusini aliyemaliza muda wake wa kazi nchini, Mhe. Young-Hoon Kim, wakati wa hafla ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara hiyo na kufanyika kwenye Hoteli ya Southern Sun, Dar es Salaam. Katikati ni mke wa Balozi Kim, Moon Jim Kim.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top