Vilio, simanzi na majonzi vimetawala katika maandamano ya waandishi wa habari mkoani Iringa kupinga mauaji ya kikatili aliyofanyiwa mwandishi wa habari wa Channel Ten Daudi Mwangosi September 2 mwaka huu katika kijiji cha Nyololo wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Loading...
Post a Comment