Wafugaji walipata fursa ya kuongalia aina ya ng'ombe wanaostahili ukame katika kituo cha Taifa cha utafiti wa mifugo kilichopo Wilaya ya Mpwapwa ,Mkoa wa Dodoma ikiwa ni katika ziara ya kujifunza kwa wafugaji ili kuweza kujua aina bora ya Mifugo.
Mkuu wa Idara ya wanyama wa dogo katika taasisi ya taifa ya utafiti wa
mifugo kilichopo wilayani Mpwapwa Bwana.Zakaria Magubu akitoa maelekezojinsi ya kuwahudumia mbuzi na kondoa ili wasiweze kupatwa na magonjwakwa wafugaji wa kata ya Massa.
Wafugaji katika kata ya Massa wilayani Mpwapwa wakitazama ng'ombe aina
ya Mpwapwa ambao wanastahimili hali ya ukame walipotembeleajuzi taasisi ya taifa ya utafiti wa mifugo kilichopo Mpwapwa kwenyeziara yao ya kupata elimu kuhusiana na mifugo.
(Picha na Masoud Masasi)
Post a Comment