Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WAISILAMU WAPINGA FILAMU YA KUMDHALILISHA MTUME MUHAMMAD
















Wakiwa wamekaa kwenye viwanja vya kidongo chekundu wakifanya mkutano kupinga filamu iliyotengezwa nchini Marekani kumkejeli Mtume Muhammad na dini ya kiisilamu.
Nchini Pakistan, serikali imetenga siku maalum kwa jina "special day of love" kwa miniajili ya kumsifu Mtume Muhammad.
Marekani imelipia matangazo ya kibiashara nchini Pakistan, rais Obama akionekana kukashifu vikali filamu hiyo
Maandamano makubwa kupinga filamu hiyo tayari yamesababisha vifo sehemu mbali mbali duniani.


Picha na Mjengwa Blog
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top