Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

JWTZ WAMSHAMBULIA ASKARI WA USALAMA BARABARANI UBUNGO MATAA














Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye taa za ubungo na kuondoka kwa madai kuwa kawachelewesha kwenye foleni,baada ya kuondoka magari hayo ya jeshi yalizuiwa kwa muda wa zaidi ya saa moja maeneo ya Tabata dampo kabla ya kuachiwa kuendelea na safari yake.
Picha kwa Hisani kubwa ya  Mjengwablog
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top