Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angela Kairuki akiteta na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Dk. Arthur Mutambara katika kongamano la mwaka la wajasiriamali na viongozi wanaochipukia Barani Afrika, linalofanyika kwa siku tatu Accra, Ghana, kuanzia jana.
(Picha na Ansbert Ngurumo)
Post a Comment