Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

NAPE,CHAMI, MAREALE WAWASHA MOTO KILEMA KUSINI

 Dr.Cyril Chami ,mbunge na mjumbe wa NEC Moshi Vijijini,akiwasalimu wana Kilema Kusini na kuwapasha kuwa wakati wao ndio huu hivyo wahakikishe wanachagua mgombea kutoka Chama Cha Mapinduzi.
 Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi mgombea wa kiti cha udiwani kupitia CCM,Temu Ernest Peter kata ya Kilema Kusini,Moshi Vijijini tarehe 21/10/2012.
 Aggrey Mareale ,mjumbe wa NEC Moshi mjini  akiwaambia wanakilema kusini huu ni wakati muafaka wa kuleta maendeleo kwa kupitia chama chenye siasa bora na kujali kila mtanzania.
Wanachama na wapenzi wa CCM,Kilema Kusini,Moshi Vijijini wakishangilia kutambulishwa rasmi kwa mgombea wao wa kiti cha udiwani  Temu Peter Ernest.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top