Baadhi ya abiria wakiwa kwenye gari ndogo aina ya Toyota Land Cruser jana wakifanya safari kati ya Sumbawanga mjini kuelekea Bonde la Ziwa Rukwa, hali hiyo ni hatari kwa watu na mizigo lakini inajitokeza kutokana na ugumu wa usafiri katika maeneo hayo.Lakini pamoja na ajali nyingi zilizotokea hivi karibuni bado watu hawasikii na kuendelea kujazana kwenye vyombo vya usafiri. Wakazi hawa ambao wamejaa kwenye gari ndogo ya mizigo na wao kukaa juu ya mizigo hiyo kuna hatarisha maisha yao
Picha na Mussa Mwangoka.
Post a Comment