Madereva wa pikipiki maarufu kama boda boda wakiwa kwenye foleni kusubiri mafuta katika kituo cha kinachouza bidhaa hiyo.Pamoja na umahiri mkubwa wa kupenya kwenye foleni hivyo kutokea kuwa kipenzi cha wasafiri walio na haraka ili kuwahi waendako lakini zikifika kituo cha mafuta lazima wakae foleni kama walivyokutwa Mkoani Sumbawanga.
Mafuta aina ya petroli yameadimika mjini Sumbawanga baada ya mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza kushuka kwa bei ya mafuta .
Picha na Mussa Mwangoka wa blog za mikoa
Post a Comment