Hapa ni kata ya Mbuyuni wilayani Chunya mkoani Mbeya wakina Mama wakiwahi Kliniki kupata matibabu kutokana na huduma hizo kuwa mbali na makazi yao na shida kubwa ya usafiri hali inayowalazimu kutumia usafiri wa punda.Je Serikali inaliona hili hasa katika wilaya za pembezoni?
Tafakari.
Picha na Mbeya Yetu
Post a Comment