Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la makao
makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na maelezo yake baada ya kulifungua rasmi
Novemba 28, 2012 jijini Arusha
Mfano wa jengo la Makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa
nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifunua pazia kufungua
rasmi jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya Novemba 28, 2012 jijini
Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau
pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki
PICHA NA IKULU
Post a Comment