Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BABA WA PINDA ALAZWA MUHIMBILI

POLE BABA: Waziri Mkuu Mizengo Pinda akmjulia hali jana jioni, Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili   kitengo cha Moi, Dar es Salaam. Mzee Mizengo yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga. Kulia kwa waziri mkuu ni Muguzi wa zamu, Edna Mhina  na kushoto kwa waziri mkuu ni  Donatila Kwelukila ambaye ni Ofisa uguzi chumba cha wagonjwa mahututi  MOI,
 (Picha na Chris Mfinanga)

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top