Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WASAFIRI NA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI SUMBAWANGA

 Basi likiwa limekwama ,kijiji cha Kianda Sumbawanga hali kama hii huleta usumbufu mkubwa kwa abiria na hata makampuni ya usafirishaji kujikuta kuendeshwa kwa hasara kwani yanajikuta yanatumia siku nyingi na malighafi nyingi wawapo safari hasa yanapokutana na barabara mbovu kama hizi.
Picha na Mjengwa Blog
Basi likiwa linavutwa na 'greda'  kijiji cha Kianda Sumbawanga.Serikali iko kwenye juhudi kubwa kutengeneza Barabara katika mikoa yote nchini ili ziweze kupitika kwa muda wote.
Picha na Mjengwa Blog.
 .........................
Pamoja na juhudi kubwa kwa serikali ya kujenga mtandao wa uhakika wa barabara UJENZI WA BARABARA YA SUMBAWANGA-MATAI-KASANGA KWA KIWANGO CHA LAMI Mkoani Rukwa ili kuweza kusukuma kwa kasi gurudumu la maendeleo lakini bado changamoto zipo.
 
Baadhi ya barabara hazijakamilika na kupelekea usafiri baadhi ya maeneo kuwa kero kwa wasafiri.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top