Abiria wakiwa hawapatikani hali huwa tete kama anavyoonekana muendesha baiskeli huyo akiwa kashika kiuno chini mti pembezoni mwa stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani.
Mama na mwana ndani ya usafiri wakikatisha mitaa kuelekea nyumbani baada ya mizunguko ya hapa na pale.
Hapa waendesha baiskeli wakiwa wamepaki kusubiria abiria na pembeni kulia ni wazee wa boda boda ambao wameingia kwa kasi mjini hapo japo utamaduni wao wa kutumia baiskeli unaendelea kama kawaida.
Post a Comment