-
FULL TIME West Ham 3-1 Chelsea.Carlton Cole, Mohamed Diame na Modibo Maiga wamewezesha ushindi wa kwanza Hammers' toka kwa Chelsea tangu May 2003.
Torres anakataliwa hapa nakipa waWest Ham alipojaribu kumfunga kwa shuti la karibu
GOAL Modibo Maiga anapenyeza mpirakumpita Petr Cech baaada ya kuzuia shuti la Matt Taylor.West Ham 3-1 Chelsea
DIAME GOAL dakika ya 86: Cole anacheza mpira mzuri kwa Diame ambae anapiga mpira unaompita Cech aliyejaribu kuucheza lakini juhudi zake hazikufanikiwa.
OFF THE LINE! Ashley Cole anaosha kwenye mstari kuzuia Winston Reid mpira wake wa kichwa kuwa goli la ushindi. ni dakika ya 83
Hatua nzuri kwa Chelsea, kuwalazimisha West Ham kurudi nyuma ... lakini Ramires pasi yake inakuwa ndefu kwani ilikuwa imfikie Ashley Cole
SUB Chelsea anaingia Marko Marin badala ya Victor Moses kunako dakika ya 79.Ngoma bado West Ham 1-1 Chelsea
Dk 75 Mashabiki bado wanaimba 'one DI Matteo' wakichagiza kwa kelele
Winston Reid akiwa kwenye kona ndani ya 18 anapiga kichwa na kinaokolewa na Petr Cech.Mpira bado uko sawa kwapande zotembili timu yeyote inaweza kushinda mechi hii
Dk 73; SUB Chelsea wanamuingiza Oscar badala ya Eden Hazard West Ham 1-1 Chelsea
DK 66:Juan Mata anapiga free-kick inampita golikipa wa West HAm Jussi Jaaskelainen lakini unagonga mtambaa waPanya pale daah
YELLOW CARD- Kwa mchezaji wa West Ham,Mark Noble
GOAL West Ham 1-1 Chelsea. Carlton Cole anaruka juu zaidi ya Branislav Ivanovic kupiga kichwa kinampita golikipa Petr Cech ikiwa ni dakika 63na kuisawazishia West Ham
Matt Jarvis anaingia kwenye box na kumpasia Kevin Nolan, anajaribu kupenyeza krosi kwa Carlton Cole. Petr Cechakiwa ametoka kwenye mstari lakini ni Branislav Ivanovic ambae anaokoa ngoma hiyo.
DK 51 Nolan anamchezea madhambi Peter Cech
Victor Moses anaingiza krosi safi ndani ya eneo laWest Ham alkini inaoshwa na beki
WEST HAM wanamuingiza Matt Taylor na Mohamed Diame badala ya Gary O'Neil na James Tomkins
Kipindi cha Pili kimeanza na matokeo bado ni West Ham 0-1 Chelsea
HALF-TIME - West Ham 0-1 Chelsea
Dk 45.Wanashindwa kuitumia free kiki hiyo
DK 44 YELLOW CARD - KWA kipa Petr Cech kwa kuukimbilia mpira nje yaeneo lake na kuugusa.
Hivyo West Ham wanapta mpirawaadhabu kuelekea lango laChelsea.Juan Mata akitumbukiza mpira kwenye kamba nachini akishangilia bao hiloGOAL- West Ham 0-1 Chelsea - Juan Mata anaipatia timu yake goli la kwanza dakika ya 13LINE-UPS- West Ham v Chelsea
West Ham: Jaaskelainen, Demel, Collins, Reid, O'Brien, Tomkins, Noble, O'Neil, Nolan, Jarvis, Cole.
Subs: Spiegel, Taylor, Diame, Maiga, Spence, Fanimo, Moncur.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Mikel, Ramires, Moses, Hazard, Mata, Torres.
Subs: Turnbull, Ferreira, Bertrand, Romeu, Oscar, Marin, Piazon.
Referee: Martin Atkinson (W Yorkshire)
Loading...
LIVE MATCH CENTRE FULL TIME :WEST HAM 3-1 CHELSEA
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment