Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LIVE MATCH CENTRE BARCLAYS PREMIER LEAGUE

Another painful afternoon: Olivier Giroud looks dejected as Arsenal slumped to a 2-0 home loss to Swansea 
Full Time: Arsenal 0 - 2 Swansea 

DK 91: Arsenal 0 - 2 Swansea (Michu kafunga tena)
On target: Michu
DK 88: Arsenal 0 - 1 Swansea (Michu)

DK 69: Arsenal 0 - 0 Swansea.
Pot shot: Jack Wilshere sees his effort blocked by Swansea's Angel Rangel
GREAT SAVE!
Swansea wanabisha hodi tena  Angel Rangel anaovalapu na  Wojciech Szczesny anaokoa mpira huo na kuwafokea mabeki wake

PENALTY APPEAL
Arsenal wanalalamikia penati hapa baada ya Santi Cazorla kuingia ndani ya 18n na kuangukakatikati ya mabeki wawili lakini refa Mark Clattenburg anapeta

Arsenal wanakuja juu na Jack Wilshere anampatia Santi Cazorla  ndani ya penati ,lakini kiungohuyompira wake unaokolewana  Gerhard Tremmel

Mechi imeanza kipindi cha pili Arsenal 0-0 Swansea
 
HALF-TIME - Arsenal 0-0 Swansea

Nafasi nzuri hapa  Emirates kutoka mpira mrefu wakurusha . Michu anapiga kichwa Nathan Dyer kukimbilia lakini Arsenal captain Thomas Vermaelen kuzuia mpira huo .
No way past: Wojciech Szczesny keeps out Angel Rangel's strike for Swansea
NAFASI ! Szczesny analazimika kucheza  mpira toka kwa Rangel

Ashley Williams anapiga mpira mpirakaribu nagolilakini beki ya wenyeji inaondoa hatari hiyo. bado  0-0

 Arsenal Line-Up:

Arsenal: Szczesny, Jenkinson, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs, Arteta, Wilshere, Cazorla, Walcott, Podolski, Gervinho.

Substitutes: Mannone, Squillaci, Coquelin, Ramsey, Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Giroud.


 FULL-TIME - Liverpool 1-0 Southampton

DK 88 : Carragher ANAingia kuchukuanafasi ya  Lucas LFC 1-0 saints fc

DK 80: Pasi maridadi kati  Johnson, Gerrard na  Sterling wanampatia  Suarez nafasi nzurikabisa yakufunga lakini shuti lakelakaribu linaokolewa  LFC 1-0 saintsfc

DK 77: Enrique anaokoa mpira wa hatari kabisa

DK 69  Henderson anaingia badala ya Allen

DK 67 : Henderson anapasha

DK 53 : Southamton wanaanza kipindi chapili vizuri huku wakiwapa Liverpool wakati mgumu

Kipindi cha Pili Kimeanza Liverpool 1-0 southampton

 HT: Liverpool 1-0 Southampton (Agger 43'). 

 Liverpool Wanastahili kuongoza half-time, wakiwa wamegonga mtambaa wa panya mara mbili,pamoja na nafasi nyingi za kufunga
 GOAL - Liverpool 1-0 Southampton - Daniel Agger

Jonjo Shelvey anapiga mpira unagonga mtambaa wa panya

DK 26 : Suarez  anacheza one-two na  Lucas lakini shuti linaokolewa

DK 21:  Enrique ANARUSHA MPIRA MREFU KWA  Suarez  lakini Suarez anaunawa

DK 16:Mpira wa hatari ndani ya eneo la penati la  Liverpool na Daniel Agger ana ondoa hatari

DK 10 :  Johnson ANApiga nje baada ya krosi kutoka kwa Suarez

DK 9 : mPIRA kutoka kwa  Gerrard ndani ya box unaoshwa na kumkuta  Shelvey anaeshindwa kufunga

DK 3: Shelvey AMEANZA KUSHOTO , Sterling YUKO KULIA. Shuti lakwanza la Southampton, kutoka kwa Rickie Lambert linatoka nje.
Mpira unaanza Steven Gerrard na Luis Suare wakianzisha Liverpool Vs Southampton

LINE-UPS - Liverpool v Southampton  

Liverpool: Reina, Johnson, Skrtel, Agger, Jose Enrique, Lucas, Allen, Shelvey, Gerrard, Sterling, Suarez. 

Subs: Jones, Sahin, Henderson, Downing, Carragher, Suso, Wisdom.

Southampton: Gazzaniga, Clyne, Yoshida, Fonte, Shaw, Puncheon, Cork, Schneiderlin, Lallana, Ramirez, Lambert. 

Subs: Kelvin Davis, Hooiveld, Steven Davis, Rodriguez, Ward-Prowse, Mayuka, Reeves.
Referee: Michael Oliver (Northumberland)

FULL TIME, Manchester City 1 Everton 1.
Back on terms: Carols Tevez celebrates the equaliser
 HT: Manchester City 1 Everton 1


Spot on: Carlos Tevez retrieves the ball after equalising for Manchester with a penalty
 
DK 43 GOAL - Man City 1-1 Everton - Carlos Tevez kwa njia ya penati

Manchester City  wanajaribu kusawazisha goli la Everton ,  Carlos Tevez  anamlazimisha  Tim Howard kuokoa kichwa maridadi
 Out in front: Marouane Fellaini celebrates yet another goal

GOAL - Man City 0-1 Everton - Marouane Fellaini (dakika ya 33)
In the balance: Everton's Darron Gibson (left) attempts to control the ball
LINE-UPS - Man City v Everton 
Man City: Hart, Maicon, Kompany, Lescott, Kolarov, Toure, Barry, Silva, Tevez, Nasri, Dzeko. 

Subs: Pantilimon, Zabaleta, Javi Garcia, Sinclair, Aguero, Toure, Balotelli.

Everton: Howard, Hibbert, Jagielka, Distin, Baines, Gibson, Osman, Naismith, Fellaini, Pienaar, Jelavic. 

Subs: Mucha, Heitinga, Oviedo, Hitzlsperger, Gueye, Barkley, Vellios.

Referee: Lee Probert (Wiltshire)

 Full time: Fulham 0-3 Tottenham Hotspur


DK 84. Tottenham wanamtoa  mousa dembele na anaingia tom carroll 

DK 82.Nafasi kwa  Fulham, Duff anapiga krosi kwa  Rodallega ambae anapiga kichwa moja wa moja kwa kipa Lloris.

DK77. GOAL! 3-0 Spurs Jermain Defoe!
Make mine a double: Jermain Defoe fired a brace for Tottenham
DK 71. GOAL! Spurs 2-0 DEFOE GOAL

DK 65. Free-kick kwa  Fulham, lakini shuti la umbali wa mita 35 la Riise  linakuwa refu kwa Petric

SUBSTITUTION
Gareth Bale anatoka anaingia  Gylfi Sigurdsson kuchukua nafasi yake

YELLOW CARD
William Gallas anaonyeshwa kadi. Gallas alitoka nje kwa matibabu nakurudi ndani  ya uwanja bila ruhusa ya refa .
 Breakthrough: Sandro's (back) hopeful strike fired Tottenham into the lead at Fulham
DK 55. GOAL! sandro raniere ANAIPATIA GOLI Spurs 1-0

DK 48.Nafasi ya Fulham, Sidwell anapiga mpira kutoka pasi ya  Petric, lakini shuti lake linatoka nje

 HALF-TIME - Fulham  0-0 Tottenham

DK 40. Tottenham wanaoshakona hapa na Gareth Bale anatokambionampirahuo.

DK 29.  Fulham, Kelly anaingia badala ya  Riether.

DK 26. NAFASI NZURI KWA dempsey anapata nafasi kati ya viungo na mabeki lakini anashindwa kutia mpiranyavuni

John Arne Riise anaingiza majaro moja nzuri na mpira huo unamkuta Mladen Petric  akiwa peke yake na kuunganisha vizuri lakini  Hugo Lloris ana okoa kwa kutumia miguu yake

YELLOW CARD kwa Bale baada yakujirusha chini

DK 15.  Dawson Anatoka anaingia  Gallas.

DK 14. Dawson YUKO CHINI MUDA HUU  Fulham Wanatoa mpira nje.

Dk 8. Kona baada ya kazinzuri ya Aaron Lennon.

Dk 4: Berbatov anatoa pasi kwa Sidwell nae anshindwa kutumianafasi nzuri kwa Fulham.

Fulham v Tottenham 

Fulham: Schwarzer, Riether, Senderos, Hughes, Riise, Frei, Diarra, Sidwell, Dejagah, Berbatov, Petric. 

Subs: Etheridge, Kelly, Baird, Karagounis, Richardson, Duff, Rodallega.

Tottenham: Lloris, Naughton, Dawson, Caulker, Vertonghen, Lennon, Dembele, Sandro, Bale, Defoe, Dempsey. 

 Subs: Friedel, Gallas, Sigurdsson, Falque, Walker, Livermore, Carroll.

Referee: Chris Foy (Merseyside)

 HALF-TIME - QPR 1-1 Aston Villa
QPR leo wamecheza mpira mpira mzuri kipindi cha kwanza  ukilinganisha na michezo iliyopita japo wamepoteza pasi nyingi

SUBSTITUTION
Anatoka Stephane M'bia anaingia Shaun Derry .
Shaun Wright-Phillips anapiga mpira unagonga mwamba

Christian Benteke anafunga goli lakin linakataliwa

DK:18 GOAL - QPR 1-1 Aston Villa - Jamie Mackie anafunga kwa kichwa kutokana na krosi ya Samba Diakite
Aussie rules: Brett Holman fired Aston Villa ahead
GOAL Brett Holman anapiga kiki kali ya mbali na kufunga goli  QPR 0-1 Aston Villa
One up: Brett Holman scored the opener for Aston Villa
LINE-UPS- QPR v Aston Villa 

QPR: Green, Bosingwa, Nelsen, Hill, Traore, Mbia, Diakite, Granero, Wright-Phillips, Taarabt, Mackie.

Subs: Murphy, Derry, Ferdinand, Park, Cisse, Da Silva, Hoilett.

Aston Villa: Guzan, Lowton, Clark, Baker, Lichaj, Holman, Herd, Westwood, Bannan, Benteke, Agbonlahor.

Subs: Given, Ireland, El Ahmadi, Bent, Delph, Weimann, Williams.

Referee: Howard Webb (S Yorkshire)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top