Demba Ba akiwa ameshikilia jezi yake namba 29 ambayo ndiyo atakayokuwa anatumia akiwa klabu ya Chelsea
(Picha na Daily Mail)
Demba Ba akipongezana na Ron Gourlay baada ya kusaini Mkataba wa kuichezea Klabu ya Chelsea ambao ni Mabingwa wa Ulaya.
(Picha na Daily Mail)
Post a Comment