Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TASWIRA:MAZISHI YA SAJUKI KISUTU LEO

 Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu wakiwa wametulia huku kila mwenye kamera akijaribu kuchukua matukio kama unavyona mwenye Simu yenye kamera na mapaparazi kibao.
(Picha na The Choice)
Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili ili shughuli ya mazishi iendelee.Wanahabari nao kama kawaida wakiwa na zana za kazi.
(Picha na The Choice)
Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu Dar tayari kwa shughuli ya mazishi ya mpendwa wao SAJUKI.
(Picha na The Choice)
 Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi huku wanahabari nao wakiwa wamenyanyua vitendea kazi vyao juu ili kuweza kupata matukio vizuri.(Picha na The CHOICE)
  Hapa ndipo sajuki amelala ndugu,jamaa na marafiki wakitengeneza vizuri Kaburi lake baada ya shughuli ya  kufukia.
Picha kwa Hisani Kubwa ya The Choice 

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top