Vurugu kubwa zimezuka mjini Shinyanga kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Machinga wanaofanya biashara katika mtaa wa Sukari eneo la Nguzo nane na mgambo wa manispaa hiyo wakati wa zoezi la kuwahamisha kutoka eneo hilo kwenda eneo la Ndembezi.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment