Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

CCM WANOA MAKALI DODOMA HUKU CHADEMA IKIPASHA MWEMBEYANGA-TEMEKE

CCM wapo DODOMA katika semina ya siku mbili wakilitafakari suala la ajira nchini pamoja na kujipanga kuelekea 2015.
 CCM MAMBO SAFI TU! Mukama akimwambia Mjumbe wa NEC, Steven Wasira nje ya ukumbi
 TUKIFANYA HIVI MAMBO YATANYOOKA AU SIYO? Inaelekea ndivyo Dk. Asha-Rose Migiro alivyokuwa akisema kumwambia Nape katika mazungumzo yao ukumbi kabla ya kikao
 Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, ambaye sasa ni Mjumbe wa NEC, William Mukama akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake wa NEC Profesa Juma Kapuya ukumbini
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro akichati jambona Mjumbe wa NEC, Samwel Sitta na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya kikao
...........................
 
Upande mwingine wa shilingi CHADEMA wao walikuwa TEMEKE kuwapokea wabunge wao Siku ya Jumapili hii yote ni kuelekea 2015.
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwa jukwaani katika mkutano wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke.

Mh Tundu Lissu akiongea kwenye mkutano uliofanyika Viwanja vya Mwembeyanga

Mhe. Mnyika akiongea katika mkutano  wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top