Picha juu ni gari alilokua akitumia Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara
Miwili Zanzibar, Evarist Mushi leo asubuhi likiwa limegonga ukuta muda
mfupi baada ya watu wasiojuliakana kumshambulia Paroko Evarist Mushi kwa
risasi na kufariki
Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
Wananchi mmbalimbali zanzibar waki eneo la tukio muda mfupi baada ya
gari la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist
Mush kugonga ukuta baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojuliaka
leo asubuhi zanzibar na kufariki
Sehemu ya Waumini wakiwa wenye majozi muda mfupi baada ya kupata habari
za kifo cha Paroko wao wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar,
Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi
katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
Padri Cosmo Shayo(Kulia)akizungumza na viomgozi wa kanisa kuhusiana na
tukio la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist
Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi katika
gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
Picha
juu na chini Sehemu ya waumini mbalimbali wakiwa nje ya viwanja vya
hospitali ya mnazi mmoja leo asubuhi baada ya Paroko wa Kanisa la
Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na
watu wasiojulikana leo asubuhi katika gari lake wakati akienda
kuendesha ibada ya saa 3.00.
Picha Adrew Chale na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar
Post a Comment