|
Balozi
Rajabu Gamaha, Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa akiwa katika mazungumzo na Balozi Roberto
Azevedo, Mwakilishi wa Serikali ya Brazil katika Shirika la Biashara
Duniani (WTO) lenye Makao yake Makuu mjini Geneva, Uswisi, alipofika
Wizarani tarehe 2 Machi, 2013 kwa ajili ya kuwasilisha ujumbe maalum.
Balozi Azevedo pia ni mgombea wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
hilo. |
|
Mhe.
Balozi Azevedo akiwa na ujumbe aliufuatana nao wakimsikiliza Balozi
Gamaha (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao. Kulia kwa Balozi
Azevedo ni Mhe. Fransisco Carlos Luz, Balozi wa Brazil hapa nchini. |
|
Balozi Gamaha akiendelea na mazungumzo na wageni wake. |
|
Balozi Gamaha akimsikiliza Balozi Azevedo wakati wa mazungumzo yao. |
|
Balozi
Azevedo akiendelea na mazungumzo na Balozi Gamaha. Wengine katika picha
ni Balozi Celestine Mushy (kushoto kwa Bal. Gamaha), Mkurugenzi wa
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Bw. Lucas Mayenga (kulia), Afisa katika Idara hiyo. |
|
Balozi Gamaha akifafanua jambo kwa Balozi Azevedo wakati wa mazungumzo yao |
|
Mhe.
Fransisco Carlos Luz (wa kwanza kulia), Balozi wa Brazil hapa nchini
pamoja na wajumbe wengine kutoka Brazil wakimsikiliza Balozi Gamaha
(hayupo pichani) alipozungumza nao |
|
Wajumbe wote kwa pamoja wakimsikiliza Balozi Gamaha. |
|
Balozi Gamaha akiagana na Balozi Azevedo mara baada ya mazungumzo yao. |
|
Picha ya pamoja. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Jamii
on Saturday, March 2, 2013
Post a Comment