Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana
Chipukizi wa CCM Cleopatra Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati
alipoanza ziara ya Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo jana.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini
Unguja.alipowasili Dunga Ofisi Kuu ya Cahama Wilaya ya kati akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea
Taarifa ya kazi za Chama Wilaya ya kati Unguja kutoka kwa Katibu wa
CCM Wilaya Zainab Shomari,alipowasili Ofisi Kuu ya Chama Wilaya Unguja
huko Dunga alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika
Mkoa wa Kusini Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi jengo la Afisi ya CCM
Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya kati Unguja katika ziara za
kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
Kadi Mwanachama mpya wa CCM Zawadi Ibrahim,katika sherehe ya uwekaji
wa jiwe la msingi, jengo la Afisi ya CCM Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani
Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi
Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment