Rais Jakaya Kikwete akiangua kicheko wakati walimu (juu), walipokuwa
wakipita kwa maandamano, huku wakiimba ‘Shemeji mshahara bado’ wakati wa
sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) zilizofanyika Uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam jana. Walimu walimwita shemeji kwa kuwa mkewe,
Salma ni mwalimu kitaaluma.
Picha na Silvan Kiwale

Post a Comment