Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

POLISI WAZUIA ZIARA YA MH.EDWARD LOWASSA YA KUWATEMBELEA WANANCHI SOKO LA KARIAKOO.
Askari polisi wakizuia ziara ya Mh Edward Lowassa ya kuwatembelea Wananchi na kusikiliza kero zao,
Akiwa ametokea kwenye soko la Tandale mapema leo asubuhi na Kuelekea Tandika ambapo alizungumza na wafanya biashara wa masoko hayo na kuelekea soko la Kariakoo ambapo askari walizuia ziara hiyo alipofika maeneo ya kongo akitokea barabara ya gerezani na kumtaka kuikatiza kwa kudai ni kulinda usalama huku amri hiyo ikitolewa na RPC wa mkoa wa Ilala Lucas J. Nkondya

Picha kwa Hisani ya CHADEMA MEDIA
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top