Wananchi
wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia
Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni, Dar es
Salaam.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ua CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasalimia
wananchi, alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye
Vwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, Dar es Salaam.
Mgombea
mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia, akiwa tayari kwenye
mkutano wa kampeni uliofanyika leo Viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la
Kibamba wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Kulia ni Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto ni Mgombea
Ubunge kwa tiketi ya CCm jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara.
Wananchi wakimshangilia mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama
Samia Suhlu Hassan alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba wilaya ya Kinondoni,
Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akishangaa umati wa wananchi
waliofurika kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba, wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM
uliofanyika katika wilaya hiyo leo.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Lina Sanga akionyesha manjonjo yake alipotumbuiza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika viwanja vya Mbezi Centre, Dar es Salaam, leo
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Lina Sanga akionyesha manjonjo yake alipotumbuiza katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia uliofanyika viwanja vya Mbezi Centre, Dar es Salaam, leo
Meya
wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda akiwahutubia wananchi katika
mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli,
uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimbo la Kibamba
wilayani humo.
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassan, Angela kairuki, akihutubia umati wa wananchi
katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi
Centre, jimbo la Kibamba, wilayani Kinondoni, Dar es Salaam.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akimwelekeza jambo,
Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre jimbo la Kibamba Dar es
Salaam. Kushoto ni Mgombea Ubunge jimbo la Kibamba Dk. Fenela Mkangara
Wasanii
wa bendi ya Yamoto, wakishambulia jukwaa, wakati wa mkutano wa kampeni
za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, katika mkutano
wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre,
Kibamba jijini Dar es Salaam
Mama Salia akiwatuza wasanii wa bendi hiyo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassani akihutuba
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Mbezi Centre,
jimbo la Kibamba Dar es Salaam
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi
mgombea Ubunge jimbo la Kibamba, Dk. Fenella Mkangara katika mkutano wa
kampeni uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mbezi Centre, jimboni humo
leo
KWA Hisani ya CCM Blog.
Post a Comment