Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma
Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani
kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo
la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma
Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya
kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja
cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wananchi baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwaaga wananchi baada ya kumaliza kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
Post a Comment