Mgombea kiti cha Rais kupitia chama cha CHADEMA ,Edward Ngoyai Lowssa akisalimiana na wakazi wa Ubungo wakati alipokuwa anapita na kusimamishwa asalimie akiwa njiani kutoka Tabata Segerea, Dar es Salaam .Hayo ni Mahaba ya wana Ubungo Hii ni baada ya msafara wa mgombea wa UKAWA Edward Lowassa kusimamishwa ma maelfu ya wananchi wa Ubungo na kuamua kumsindikizwa mpaka Tandale.
Loading...
Post a Comment