Wakazi wa Jimbo la Segerea na viunga vyake wakiwa wamekusanyika katika mkutano wa hadhara katika kata ya Liwiti wakiwa tayari kumsikiliza mgombea wa kiti cha Rais kupitia CHADEMA Ndugu Edward Lowassa leo majira ya mchana.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment