Kila
 siku watafiti wana habari mpya kuhusiana na maisha, tumeona tafiti 
nyingi zikifanywa zikiwemo za magari, majumba, watu maarufu.. Lakini 
sikuwahi kufikiri kwamba kuna siku nitakutana na utafiti unaozungumzia 
urefu wa Marais duniani.
1. Filip Vujanovic
Papa Benedict xvi akiwa na Rais wa Montenegro ambaye ndiye rais mrefu kuliko wote duniani, ana urefu wa futi 6.5
2.Nicolas Maduro
3.Bashar Al- Assad
4.Stephen Harper
5. Toomas Hendrik Ilves
6. Paul Kagame
Kwa
 Afrika huyu ndiye rais anayeongoza kwa urefu, lakini duniani anakamata 
nafasi ya sita kwa futi 6.2 huku binti yake akimzidi kwa kuwa na futi 
6.6. Hapa Rais Kagame alikuwa na Rais Obama na mkewe.
7.Barack Obama
Barack Obama ni Rais wa Marekani, ana urefu wa futi 6.1 huku mke wake Michelle Obama akiwa na futi 5.11
8.David Cameroon
Huyu ni Waziri mkuu wa Uingereza, urefu wake haujatofautiana na wa Rais Obama wa Marekani, wote wana futi 6.1
9.Blaise Compaore
Huyu
 alikuwa Rais wa Burkina Faso ambaye Oktoba mwaka jana aliamua kujiuzulu
 kutokana na machafuko nchini kwake, ana urefu wa futi 6. Hapa alikuwa 
na Rais Obama na wake zao.
10. Recep Tayyip Erdogan
Post a Comment