Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WANA CCM IRINGA MJINI WATAKA WAHUJUMU KUACHIA NAFASI ZAO

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa wamewataka wahujumu wote wa chama hicho kuondoka mara moja katika chama hicho kutokana na kushindwa vibaya katika Uchaguzi wa Mwaka huu 2015 katika ngazi ya Ubunge na Udiwani. 

Hali hiyo imepelekea kutolewa wito huo wa kuachia nafasi zao kwa baadhi ya viongozi ili chama hicho kiweze kujipanga vizuri na kujiandaa kwa uchaguzi ujao mwaka 2020.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top