|
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo. |
|
Mgombea
Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM
,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili
katika viwanja hivyo. |
|
Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi. |
|
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza katka mkutano huo. |
|
Kada wa Chama cha Mapinduzi,Lusinde akizunumza katika mkutano huo. |
|
Kada
wa Chama cha Mapinduzi na mgombea Ubunge katika jimbo la
Simanjiro,Christopher Ole Sendeka akihutubia katika uzunduzi wa kampeni
za Ubunge katika jimbo la Vunjo. |
|
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akikimbia mara baada ya kuitwa Jukwaani. |
|
Mgombea
Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akipokea kifimbo kutoka
kwa wazee wa Mila ,mbele ya kada wa Chama cha Mapinduzi,Christopher Ole
Sendeka. |
|
Kada
wa Chama cha Mapinduzi,Christopher Ole Sendeka akimtamburisha mgombea
Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima mbele ya wananchi
waliohudhuria uzinduzi wa kampeni hizo. |
|
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo,Innocent Shirima akizungumza wakati wa uzunduzi wa kampeni katika jimbo la Vunjo. |
|
Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzunduzi wa mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
Siasa
on Thursday, October 1, 2015
Post a Comment