Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAMA REGINA LOWASSA AKIWA ZIARANI SONGEA







author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

1 comments:

asante sana mama yetu,mama regina lowassa.kweli ndugu zangu ni mipango ya mungu.tumempata 'mama tanzania one'.ni mkakamavu,mcheshi,muongeaji mzuri sana,anang'aa,anapendwa na watu wengi mno,anaongea kwa umahiri mkubwa,ana mvuto wa kipekee.ni bahati mara mbili.hii sasa ina maana ushindi mkubwa wa mheshimiwa lowassa kwenye uchaguzi mkuu wa tanzania hapo jumapili octoba 25,2015 unaongezewa pointi nyingine.ushindi ulikua ni asilimia 78,sasa mama lowassa kaisogeza takwimu hadi asilimia 82.tuombe amani na salama,tumuombe mwenyezi mungu uhai tuifikie siku hiyo ya kihistoria.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top