Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole
gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali
kumpigia kura ya ndiyo, wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi
Bar, Ukonga - Dar es Salaam.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment