Wananchi
wakiwa na bango wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wa Mama Samia,
uliofanyika Oktoba 1, 2015, katika Viwanja vya Mugumu, Serengeti mkoani
Mara.
Wananchi
wakimshangilia mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mugumu
jimbo la Serengeti mkoani Mara
Mgombea
Ubunge jimbo Dk. Kebwe Stephen Kebwe, Serengeti mkoani Mara, akiomba
kura katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika katika jimbo
hilo, jana, Oktoba 1, 2015. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara,
Christopher Sanya.
Wananchi
wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mugumu, jimbo la
Serengeti mkoani Mara, Oktoba 1, 2015
Mama Samia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Mugumu katika jimbo la Serengeti mkoani Mara
Kijana akifuatilia hotuba ya Mama Samia kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Serengeti mkoani Mara
Ukarimu wa Serengeti
Mwananchi
akimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mugumu, jimbo la
Serengeti mkoani Mara, jana Oktoba 1, 2015.
Mwananchi
mwenye ulemavu, akimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, aliposimama kwa muda kusalimia wananchi
katika eneo la Mugeta, jimbo la Bunda Vijijini mkoani Mara, Oktoba 1,
2015
Wananchi
akiwa wamezuia msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM
Mama Samia Suluhu Hassan, katika eneo la Natta, ukitoka Mugumu kwenda
Kisorya, Bunda mkoani Mara.
Mgomea
Ubunge jimbo la Bunda Vijijini mkoani Mara, Boniface Mwita Getere
akiomba kura, wakati msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), uiposimamishwa na wananchi
katika eneo la Mugeta, katika jimbo hilo, jana, Oktoba 1, 2015.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia
Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara, Kangi Ligora, alipowasili kufanya
mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya mnadani, katika jimbo hilo, jana,
Oktoba 1, 2015. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara, Joshua
Mirume.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnadani wa Kisorya,
kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mwibara, wilaya ya Bunda
mkoani Mara, jana, Oktoba 1, 2015.
Post a Comment