Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TREVO FURSA MPYA YA KIBIASHARA TANZANIA


MMGL0865

Bidhaa  ya TREVO yenye virutubisho vya asili zaidi ya 174, bidhaa kutoka nchini Marekani iliyotengenezwa kwa kuzingatia kanuni bora za afya na kufikia uthibitisho wa hali ya juu  imeendelea kujiimarisha katika mzunguko wa soko hapa nchini huku watu mbalimbali wakinufaika nayo ikiwemo matumizi ya kiafya pamoja na kukuza soko la mitaji kwa wasambazaji wake.

Kwa mujibu wa Msambazaji wa bidhaa za Trevo Tanzania, Kemi Bubelwa alieleza kuwa, Formula hiyo ya TREVO inakupa wewe na familia yako ladha nzuri na njia rahisi ya kurejesha afya bora na pia kulinda mwili wako na kuupa afya bora zaidi.

“TREVO pia inakupa fursa ya kuongeza kipato na kuwa na biashara yenye mafanikio kupitia njia nane za kutengeneza pesa ! Hii ni biashara inaweza fanywa na mtu yeyote mwenye nia awe mwalimu,mwanafunzi, daktari, injinia, mkufunzi wa afya, kondakta, mfanyabiashara mkubwa au mdogo nk.  TREVO ni njia ya kweli kufikia malengo yako na kuwa na biashara kubwa kimataifa. Kamata fursa leo hii” alieleza Kemi Kubelwa..

TREVO inaimarisha vitu mbalimbali mwilini ikiwemo:
  • Ufahamu wa kiakili-mental focus
  • Kudhibiti uzito Afya ya moyo- Blood pressure and Heart health
  • Afya ya seli Afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – digestion system
  • Afya ya mfumo wa neva za fahamu – nervous system
  • Afya ya mfumo wa kinga ya mwili -immune system
  • Afya ya mifupa na viungo Afya ya mfumo wa damu – blood circulation
  • Afya bora ya mwili mzima
  • Nishati ya kutosha mwilini Kuongeza nguvu mwili
  • Afya ya sukari damuni- Blood sugar level
  • Kusaidia wenye vidonda vya tumbo na magonjwa ya kina mama

TREVO imethibitishwa na ORAC, Cap-e ,Halal, Kosher, Vegetarian, na  TFDA kwa Tanzania.

Pia  kwa maelezo zaidi  wasiliana nasi kupitia +255 655 285328 ujipatie kinywaji hiki na pia kujiunga na biashara ya kimataifa  ya TREVO.
13170_10152659869927601_4714473087681081525_n
Je, una ndoto ya kuishi maisha yaliyokamilika ya kitajiri? Vipi kama ungeyabadilisha maisha yako na maisha ya mamia au hata maelfu ya watu wengine ? Utakuwa na furaha kiasi gani pale ambapo ungefanikiwa kuyafikia malengo ambayo watu wengi wanayaota ?

Kupitia TREVO, utabadilisha maisha yako na kufikia malengo.Utahamasishwa kuishi maisha ya hali ya juu na yenye uhuru usio na mipaka;kuishi bila madeni;kuishi maisha ya furaha; maisha ya kutajirika; na maisha yanayotimiza malengo yako na jinsi unavyotaka yawe mahali unataka .

Leo, Fursa hii ya kuwa sehemu ya wafanyabiashara wa kimataifa umeishikilia mikononi mwako,kwa yule ambaye nafasi yake ya kufanya hivyo haijabanwa. Kwa hiyo hapa swali ni kwamba,je wewe unafikiria mbali
Jua sasa njia nane za kutengeneza pesa na TREVO

Kupata faida ya asilimia 25% – 40% ya mauzo ya reja reja .

Kupata hadi 40% ya bonasi ya haraka ya kuanzia .Hii ina maana kwa kila mtu umuingizaye kwenye biashara utapata kati ya sh 100,000 hadi 800,000 kutegemeana na kifungu cha biashara alichoanza nacho
Kupata hadi 20% ya bonasi ya uwiano .
 Hii ni kwa kila msambazaji uliyemwingiza anapoingiza msambazaji mwingine nyuma yake
Ngazi 8 za Faida /kamisheni za ukubwa wa kundi.Hii ina maana ni kipato toka vizazi vinane vilivyo kwenye timu yako kila mwezi
Ngazi nne za faida za vifurushi au mifuko ya jumla. Hii ni kila msambazaji kwenye timu yako anaponunua vifurushi kila mwezi
Kamisheni za Pongezi – Asilimia 15 ya kipato cha mwezi duniani pote kulipwa kwa wakufunzi wote duniani kwenye ngazi 15
Bonasi za viongozi – Bonasi ya gari, Utalii wa kimataifa,zawadi maalum za pesa taslimu

Bonasi za wahisani

 Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujiunga piga simu au whatsapp +255 655 285328 
Web Slider_template_correctsize
Shuhuda

“TREVO imenirudishia maisha yangu;sina maisha yaliyojawa mateso na maumivu tena, bali ni maisha yaliyojawa na furaha, afya njema na yanayojitosheleza. Ninashukuru na kujiona niliyebarikiwa kwamba ni mwanangu Mark ndiye aliyenipa zawadi hii ya thamani” ~Georgia Stevens,mamaye mwanzilishi wa TREVO, Mark Stevens

 “TRÉVO amenipa maisha ya ajabu , uhuru wa kifedha na wakati. Ni amebadilisha maisha yangu kutoka sifuri mpaka kuwa  shujaa wa ajabu! “~ Abiodun M., Afrika

” Nimepungua kilo 20.Ndani ya miezi michache tu,shinikizo la damu yangu limeshuka,na nguvu zangu zipo juu! Naipenda TREVO na sitapitisha siku bila kuinywa “~Trish M,USA

” Najua kwamba zimejengwa kwa ajili ya ukuu, na kufanya chochote ni ndani ya UWEZO wangu kufikia uhuru wa kifedha. Shukrani kwa ajili ya nafasi hii ya ajabu, Trévo! “~ Gabriel T., Peru

 “Afya yangu ilikuwa imeporomoka na kushuka sana miezi michache iliyopita.Lakini toka nianze tumia Trevo katika mlo wangu,afya yangu inaimarika.Hakika Trevo ni sehemu ya kudumu ya maisha yangu !” ~Antonio S.Guatemala

“I love kuona maneno juu ya nyuso za watu wakati wao kutambua kwamba Trévo unaweza na kuwawezesha ndoto zao. Ni rahisi kuwa na nia ya na msisimko juu ya Trévo kwa sababu naamini katika kampuni, bidhaa, na waanzilishi wake. “~ Olufemi S., Afrika

 “Nani anasema msisimko hana ‘MALIPO’ off. Mine tu alifanya leo !! Kutoka msisimko sheer peke ya kugawana afya yangu mpya na marafiki, walianza Trévo na I got kulipwa kwa ajili yake !!! “~ Debbie P.

 “Katika yangu ya kwanza ya miezi 12 na Trévo, nimekuwa na uwezo wa kupata zaidi ya mimi alifanya katika muda wangu kazi. Kwa hiyo, mimi alistaafu kutoka kampuni panya mbio na sasa niko ya muda kazi-kutoka-nyumbani baba. Maisha ni shukrani kubwa kwa Trévo! “~ Samuel J.

Ukiacha ujumbe ututumie hapa chini ututumie namba ya simu tuwasiliane nawe haraka zaidi !

Pia waweza kutembelea webisite:

NONI
1509668_10152650126912601_8567651990454490070_n (1)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
Chediel . Powered by Blogger.
© Copyright Rundugai Blog
Back To Top