Kada wa CCM, Deo Ngalawa.
NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi
hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe,
Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson
Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya
(72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38).
Post a Comment