Mchezaji wa Arsenal aliyevunja rekodi ya uhamisho Pierre-Emerick Aubameyang akifanya mazoezi peke yake baada ya kuingia mkataba wa £56millioni na Arsenal
Aubameyang akisalimiana na Kocha wake Arsene Wenger wakati akifanya mazoezi ya peke yake mchana wa leo alihamisi.
Aubameyang akinoa uwezo wake wa kumiliki mpira huku akitizamwa na benchi la ufundi la Arsenal yakiwa ndio mazoezi yake ya kwanza.
Aubameyang alivaa kiatu cha Nike chenye chata yake ya PEA17 /
Aubameyang, ambaye anaweza kucheza mechi ya kwanza na Arsenal dhidi ya Everton siku ya Jumamosi, akifanya mazoezi ya kukontroli mpira siku ya leo Alhamisi.
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Gabon , amabye amefunga magoli 21 msimu huu , akinyoosha misuli ya mwili wake.
Mchezaji staa wa zamani wa Borussia Dortmund akiendelea na mazoezi ya kucheza na mpira ,
Post a Comment