&nb...
Loading...
PICHA:SIMBA ILIVYOJIFUA KUJIANDAA NA NUSU FAINALI DHIDI YA AZAM FC

Kikosi cha Simba kimehamia mji wa Unguja ambako mchezowa nusu fainali
kombe la mapinduzi dhidi ya AzamFC utapigwa. Simba imepeleka wachezaji
wake wote muhimu
kuelekea mchezo wake na Azam utakaopigwa
hapo...
Filed Under:
SIMBA SPORTS CLUB
on Thursday, January 9, 2020
YANGA YASHUSHA BONGE LA KOCHA

Luc Eymael: Always on the move
07 July 2019: Leaves El Gaish FC
26 September 2019: Luc Eymael signs a 2 year deal with Black Leopards. South Africa
27 December 2019: Resigns at Black Leopards
09 January 2020: Confirmed as Young Africans...
Filed Under:
YOUNG AFRICAN FOOTBALL CLUB
on
MABINGWA WA ULAYA MARA SITA (6) LIVERPOOL WAPOKELEWA KWA SHANGWE

...
Filed Under:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
on Tuesday, June 4, 2019
LIVERPOOL NI KUSUKA AMA KUNYOA

Kikosi cha Jurgen Klopp kinafanya vizuri lakini wiki hii kitaanza kupata wakati mgumu kwenye safari yao ya kuwani ubingwa tofauti na timu za Manchester United,Man City,Arsenal,Chelsea na Tottenham Hottspur.
Baada ya michuano ya UEFA...
Filed Under:
LIVERPOOL FC
on Monday, September 10, 2018
MCHEZAJI BORA WA FIFA:CRISTIANO RONALDO, LUKA MODRIC NA MO SALAH KUWANI TUZO

Cristiano Ronaldo, Luka Modric na Mohamed Salah ndio wachezaji watatu wa mwisho ambao watawania tuzo la mchezaji bora wa Fifa mwaka 2018.
Tuzo hizo zinafanyika huku mshambuliaji wa Barcelona raia wa Argentina Lionel Messi, mshindi mara tano wa tuzo...
Filed Under:
FIFA
on Tuesday, September 4, 2018
NYOTA WAWILI PSG KUIKOSA LIVERPOOL

Liverpool wataikabili PSG mnamo Septemba 18 katika mechi ya ufunguzi UEFA mechi za makundi.
Kiungo wa PSG Marco Verratti atakosa mechi ya kwanza nyumbani kwa Liverpool huku kipa mkongwe Gianluigi Buffon naye akiangukia adhabu...
Filed Under:
Liverpool Vs Psg
on Friday, August 31, 2018
ZIJUE TAREHE MUHIMU UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Real Madrid v Roma na Liverpool v Paris ni mojawapo ya mechi zitakazokuwa na msisimko katika mechi za mwanzo hatua ya makundi.
KLABU BINGWA YA UEFA HATUA YA MAKUNDI
Klabu Bingwa wa Ulaya (UEFA Champions League) hatua ya makundi tayari...
Filed Under:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
on
KLABU BINGWA YA UEFA HATUA YA MAKUNDI

Hapo jana mida ya jioni kulikuwa na sherehe ya droo ya kupanga makundi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya ,hivi ndivyo makundi yalivyo sasa.
Kundi A
Atletico Madrid, Dortmund, Monaco, Club Brugge
Kundi B
Barcelona, Tottenham, PSV, Inter Milan
Kundi...
Filed Under:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
on
Chediel . Powered by Blogger.