

Katika maelezo aliyotoa akiongea na waandishi wa habari wa ITV amesema anaendelea vizuri tofauti na alivyoletwa jana ila ni maumivu ya kichwa tu ndio yamsumbua kwa sasa hivyo anaomba apumzike zaidi ili hali yake irudi katika hali ya kawaida.
.
Source:ITV
Post a Comment