Abiria wakiwa kila mmoja kwenye kiti chake tofauti na muda ule wa asbuhi na jioni ambapo kukuta daladala liko kama uonavyo pichani ni nadra sana kwani mengi huwa yamejaa kupita kiasi na humo ndani ni mbanano mwanzo mwisho unapumulia kwenye kwapa na mwenzio ole wako liwe ndio yaleee ya kutafutiwa dawa balaa. Daladala hili linafanya safari zake kati ya Masaki -Buguruni.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment