Ilifika kipindi cha kutoa zawadi kwa Jenerali Ulimwengu ambapo alikabidhiwa na Makamu MKuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,Prof.Tolly Mbwette kwa niaba ya uongozi na wafanyakazi wa chuo katika muendelezo wa Sherehe za Maadhimisho ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ambapo leo ilikuwa ni siku ya Kitivo cha Sayansi ya Jamii ambapo mtoa mada alikuwa Jenerali Ulimwengu aliezungumza kuporomoka kwa maadili ya jamii.
Loading...
Chediel . Powered by Blogger.
Post a Comment