Hivyo ndivyo itakavyokuwa baada ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi kukamilika na hapo ni kituo cha Manzese kitakavyokuwa.Changamoto kubwa iliyoko mbeleni ni namna ya utunzaji wa miundo mbinu hiyo ili iweze kudumu kwa muda mrefu kama ilivyo kusudio la mradi huo.
Mradi huo unaendelea kujengwa na huko kwenye ujenzi kuna mashine za kila aina zikipiga kazi ili mradi huo uende kwa kasi nzuri.
Kuna taswira pia zikionyesha jinsi miundombinu hiyo inavyojengwa maeneo ya Manzese -Ubungo na pia maeneo ya Kinondoni B pia wameanza kujenga miundo mbinu ya barabara.
Post a Comment