Mafundi wa Shirika la Reli wakimwaga kokoto kwenye Reli maeneo ya Tabata Dampo au Mataa(kutokana na kuwekwa kwa taa za kuongozea magari) ikiwa ni sehemu ya ukarabati unaoendelea ili kuwezesha Usafiri wa Reli katika Jiji la Dar es salaam kutoka Stesheni mpaka Ubungo.
Hivi karibu usafiri huo wa treni kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ulizinduliwa na una tarajiwa kuanza kazi Oktoba 2012
Post a Comment